Welcome to
NURU
LIISHI KUSUDI LAKO
KARIBU, WELCOME!
Tuna furaha kubwa kukukaribisha katika ukurasa huu.
Hujakosea!
Hapa tutajifunza kuhusu maisha yetu na kusudi la uwepo wetu duniani tukisimamia neno la Mungu.
LENGO LA UKURASA HUU:
Kuishi bila kujua kusudi ni kama kuwayawaya na kupelekwa na dunia hii vile itakavyo. Hili ni jambo baya sana maishani. Katika kutimiza hili , tutasimamia neno la Mungu ili kufikia ubora wa hali ya juu katika mambo makuu yafuatayo:
• AFYA
• KUJENGA JAMII BORA INAYOMTEGEMEA MUNGU
• KUSAIDIA WATOTO NA VIJANA KUJUA KUSUDI LAO
• KUJENGA NDOA BORA
• KUHUDUMIA JAMII KATIKA MAENEO TULIYOPO
KARIBU TUTIMIZE KUSUDI LETU
MUNGU AKUBARIKI SANA